diarra

Diarra is a French translation of the clan name Jara used in West Africa, as a hangover from the French colonial empire in that region. It originates from the Bambara language word jara, meaning lion, synonymous with waraba. The Kingdom of Diarra existed from the 7th Century until the 19th Century. The name is also frequently used with reference to the 18th to early 19th-century Bambara Empire in Ségou, Mali, which was ruled successively by Ngolo Diarra, his son Mansong (or Monzon) Diarra, and then his son Da Diarra.
The clan name (or patronym) Jara/Diarra is related to another clan name, Koné, and is heard in many of the chronicles that have been handed down orally. Both are frequently praised together in song, signifying bravery and fearlessness.
The name Diarra, now a surname, is traditionally found mostly in Mali, but also Burkina Faso, Côte d'Ivoire, Guinea and Senegal. Today, it has also spread around the world, notably in France and Spain. Today, it is also used as a given name.
Diarra may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

    Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
  2. Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

    Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza. Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi...
  3. Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

    Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet 14. Mpaka sasa Spider ana cleansheet 13, maana baki mechi 1 tu amfikie Diarra kwa cleansheets za...
  4. Jemedari: Camara na Diarra waondoke Tanzania

    "Naendelea kusisitiza sitaki makipa wa nje na wachezaji wa nje wapunguzwe kutoka 12 hadi wabakie 5. Kilichoitokea Kilimanjaro Stars kule Zanzibar ndio uhalisia wa soka letu". JEMEDARI SAID, Mchambuzi CROWN FM My intake: Mbona ukiwaza nje ya box kama Kuna ukweli mkubwa 1. Itasaidia kuwapa...
  5. M

    Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

    Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi! Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024 Timu inacheza...
  6. FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  7. S

    Diarra: Mechi yangu bora ni hii ya juzi

    Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha. "Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena" Mechi yangu bora ya Simba na Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…