dickson ng'hily

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Serikali yakanusha kukamatwa kwa Mwandishi Dickson Ng'hily na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, yasema mwandishi hakupigwa wala kuvunjiwa simu yake

    Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani? Hapa panatia mashaka. Ila pia mnataka kutuambia kuwa THRDC walikurupuka, kwamba hawakuwa na...
  2. BigTall

    Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti

    Nimeona ujumbe huu ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na picha husika, nikaona niusogeze hapa ili Wadau watie neno..... Mimi ni Dickson Ng'hily Mhariri wa Biashara na Mkuu wa Kitendo cha Digital The Guardian Wakuu hamjambo.. Nimekamatwa na Walimu wa Shule ya Msingi Kwembe, Kata ya...
Back
Top Bottom