dida

In England, Wales and Northern Ireland, the Diploma in Digital Applications (DiDA) is an optional information and communication technology (ICT) course, usually studied by Key Stage 4 or equivalent school students (aged 14-16). DiDA was introduced in 2005 (after a pilot starting in 2004) as a creation of the Edexcel examination board. DiDA is notable in that it consists entirely of coursework, completed on-computer; all work relating to the DiDA course is created, stored, assessed and moderated digitally. It was introduced as a replacement to plug the gap in ICT education as GNVQs were withdrawn.

View More On Wikipedia.org
  1. Bila ushabiki, hebu wapange hawa makipa 1 hadi 5 kwa Kuzingatia ubora wao: Dida, Casillas, Buffon, Cech na Julio Cesar

    Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5: Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter Milan, akijulikana kwa wepesi wake na uwezo wa kuokoa mipira ya mbali, lakini kiwango chake kilikuwa...
  2. H

    Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  3. B

    Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

    Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani. Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia
  4. Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

    Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida. Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
  5. TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili. Amefariki usiku wa leo. --- TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili Kwa mujibu wa taarifa...
  6. Mfahamu Mwalimu Mohammed Abduba Dida aliyefungwa kwa kutoa vitisho kwa mtu

    Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)? Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na kutuma vitisho. Dida amekuwa akitumikia kifungo chake katika kituo cha kurekebisha tabia cha Big Muddy...
  7. Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

    Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi.... Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
  8. Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  9. Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…