Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo.
JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...