digital rights 2024

Haki za Kidijitali
Haki ya Kidigitali ni moja ya haki za binadamu na haki za asili na kisheria zinazomruhusu mtu kutumia, kutengeneza pamoja na kuchapisha maudhui katika vyombo vya kidigitali, au kuwa na uwezo na uhuru wa kutumia kompyuta pamoja na vifaa vingine vya kielektronikI na vya mawasiliano.

Dhana ya uhuru wa Kidigitali inahusiana na ulinzi wa kidigitali na utambuzi wa haki za kidigitali zilizopo kama vile Haki ya faragha na Uhuru wa kujieleza, katika muktadha wa teknolojia ya kidigitali pamoja na intaneti. Nchi kadhaa duniani zimetambua na kupitisha Uhuru wa kuwa na uwezo wa kutumia Intaneti.
  1. The Sheriff

    Watetezi wa Haki nchini Nigeria watoa wito wa kulindwa kwa Haki za Kidigitali za wananchi, wasema serikali inawanyima haki hiyo ya msingi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Nigeria (NHRC) na watetezi wa haki za binadamu wameomba ulinzi wa haki za kidigitali za wananchi kufuatia ongezeko la udhibiti, uingiliaji na unyanyasaji unaofanywa na serikali na taasisi zake za udhibiti. Wito huu umetolewa jana Alhamisi, Oktoba 31, 2024...
  2. Hance Mtanashati

    Watu wanaorekodi matukio ya watu wakiwa wamelewa na kuyaposti mtandaoni bila idhini yao washughulikiwe kisheria

    Ipo wazi inajulikana pombe sio chai na mtu akinywa pombe uwezo wake wa kufanya maamuzi kwa asilimia kubwa hupungua. Sasa utakuta kuna huu mchezo wa kuposti watu wakiwa wamelewa kwenye sherehe au sehemu nyingine yoyote ile na wakawa wamechangamka kwa namna moja au nyingine then utakuta mtu hana...
  3. The Sheriff

    Je, ungependa baadhi ya taarifa zako mtandaoni zifutwe na kusahauliwa kabisa?

    Katika zama hizi za kidigitali, taarifa zetu binafsi zimezagaa katika majukwaa mengi, na mara nyingi hatuna uwezo wa kuzifuta kabisa taarifa hizi zisionekane na umma. Taarifa hizi zinashikiliwa na taasisi na makampuni binafsi, n.k. Lakini je, ni lazima taarifa hizo kubaki hivyo daima? Katika...
  4. The Sheriff

    Ripoti: Sheria za Ulinzi wa Data katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ni ushindi mkubwa kwa Haki za Kidijitali

    Ripoti kuhusu hali ya haki za kidijitali Kusini mwa Afrika imepongeza juhudi za nchi za ukanda huo kuweka sheria za ulinzi wa data kama moja ya njia za kuboresha haki za kidijitali miongoni mwa wananchi. Ripoti hiyo yenye kichwa “Kulinda Haki za Kidijitali Kusini mwa Afrika: Wito wa Hatua kwa...
  5. Replica

    Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete...
  6. A

    KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

    Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
  7. Cute Wife

    Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  8. Vodacom Tanzania

    Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi. Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
  9. Replica

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  10. Analogia Malenga

    Je, umeombwa radhi na kampuni unayotumia huduma yake kwa tatizo la mtandao au wanakuona mbwa?

    Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia. Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
  11. Kidagaa kimemwozea

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  12. Replica

    CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia mahakama imeiamuru benki hiyo kuondoa picha zote za balozi huyo wa Tacaids kwenye mabango yake ya...
  13. Replica

    Benki ya I & M yawapiga mkwara mzito wadeni wake, kusambaza picha na madeni yao kama wakopeshaji mtandaoni

    Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa kuwatangaza wote wenye madeni sugu. Hivi sheria inaruhusu kuanika taarifa za mtu binafsi kwa umma ama hawa...
  14. olimpio

    Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

    Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu) report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza 1. Taasisi zinazopambana na...
  15. Lady Whistledown

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote. Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Hadi Desemba 2024, Taasisi za Umma na Binafsi ziwe zimetekeleza Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC. Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
  17. Miss Zomboko

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4. Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
  18. Ghost MVP

    DOKEZO Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa hizi:- SMS - yan...
  19. Hanceog

    App zinazotoa mikopo mitandaoni zina riba kubwa sana, ukichelewa rejesho wanatuma SMS kwa namba zote ulizowasiliana nazo

    Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba...
Back
Top Bottom