Kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku hatuna watu ambao watatuambia kitu ambacho mtu wa Kawaida hawez kukiona
Mfano
Ukienda ulaya utaona planning y miji katika nchi za ujerumani ni tofauti na France, Spain, na england, kote huko ukienda unakuta na upangaji wa miji unique...