Licha ya umuhimu wa teknolojia katika kuongeza kupata taarifa na maarifa, serikali nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zimechukua hatua ambazo zinaathiri Uatikanaji wa Taarifa na uhuru wa kujieleza. Tanzania imepitisha sheria kama Sheria ya Huduma za Habari ya...