digitali salama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umewahi kutapeliwa mtandaoni au kidogo uingie mkenge? Tuambie ilikuaje uokoe mtu asije kuingizwa mjini (mtandaoni)

    Wakuu, Kumekuwa na wimbi la watu kuweka nyuzi kuuliza kama fursa fulani ni kweli au lah, au kama zawadi anayotumiwa ni kweli anapendwa au anataka kuingizwa mjini. Tunasikia mara kadhaa watu wanalizwa lakini kenge hawakosi, na mara nyingi huwa inakuwa ni tamaa ya kupata hela ya haraka haraka...
  2. Baadhi ya game wanazocheza watoto kwenye simu zinawawezesha kuwasiliana na watu wasiowajua. Unajua anaongea na nani?

    Wakuu salam, Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi. Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…