digitali

Digitalis ( or ) is a genus of about 20 species of herbaceous perennials, shrubs, and biennials commonly called foxgloves.
This genus was traditionally placed in the figwort family Scrophulariaceae, but recent phylogenetic research has placed it in the much enlarged family Plantaginaceae. This genus is native to western and southwestern Europe, western and central Asia and northwestern Africa. The flowers are produced on a tall spike, are tubular, and vary in colour with species, from purple to pink, white, and yellow. The scientific name means "finger-like" and refers to the ease with which a flower can be fitted over a human fingertip.
The best-known species is the common foxglove, Digitalis purpurea. This biennial plant is often grown as an ornamental plant due to its vivid flowers which range in colour from various purple tints through pink, and purely white. The flowers can also possess various marks and spottings. Other garden-worthy species include D. ferruginea, D. grandiflora, D. lutea and D. parviflora.The term digitalis is also used for drug preparations that contain cardiac glycosides, particularly one called digoxin, extracted from various plants of this genus. Foxglove has medicinal uses but can also be toxic to humans and other animals.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  2. Mtoto wa kiume anaweza kujisimamia mwenyewe, wa kike usithubutu utalia! Hii ni kweli kipindi hiki cha digitali?

    Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu. Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
  3. Baadhi ya game wanazocheza watoto kwenye simu zinawawezesha kuwasiliana na watu wasiowajua. Unajua anaongea na nani?

    Wakuu salam, Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi. Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
  4. Enzi za Digitali - Hotuba kwenye makaratasi?

    Inasikitisha sana Viongozi wetu bado wanapambana na mafurushi ya makaratasi katika kusoma Hotuba, hata kubadilishana taarifa (Mawasiliano serikalin). Zama za digitali. Vishkwambi mbona Bei rahisi tu?
  5. Kwa hizi mvua bado hatuoni umuhimu wa digitali?

    Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea. Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa...
  6. Acha kujirekodi video za utupu, zikivuja msambazaji wa kwanza ni wewe!

    Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa hawana muda wa kufikiria hasara utakayopata maana umeamua mwenyewe udhalilike, unless umerekodiwa...
  7. Baraza la Kiswahili nini kimewashinda kuweka Kamusi ya digitali hadi leo ikiwa ndio taifa tuliokishikiria Kiswahili?

    Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika. Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...
  8. R

    Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Wakuu, Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani. Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
  9. R

    Sasa unaweza kuweka video ya mpaka masaa mawili Twitter

    Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
  10. Maxence Melo: Kile unachokipenda ndicho unacholetewa kwenye digitali

    Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo akizungumza katika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM anasema “Kwenye ulimwengu wa kidijitali wewe ni bidhaa ambayo inatokana na namna ambavyo wewe unachakata maudhui (algorithm).” Hivi ndivyo mitandao inavyotengeneza pesa, kuna maudhui utayaona...
  11. SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  12. J

    Siku ya Wanawake Duniani: Vikwazo wanavyokumbana navyo Mitandaoni vipate ufumbuzi

    Upatikanaji wa Intaneti pekee hautoshi kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Majukwaa ya Kidigitali. Ni muhimu vikwazo wanavyokumbana navyo vipate ufumbuzi. Masuala ya Unyanyasaji wa Mtandaoni na Gharama kubwa ya Huduma ya Intaneti yanahitaji suluhisho ===== As our daily lives become...
  13. Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  14. Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  15. Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  16. Teknolojia ya Digitali Inaongeza Uwazi wa Serikali

    Uwazi wa serikali ni dhana kwamba watu wana haki ya kujua serikali yao inafanya nini na serikali ina wajibu wa kutoa taarifa kwa umma. Hata hivyo, kuna njia nyingi za kutafsiri uwazi wa serikali na siku hizi unaweza kupatikana kwa urahisi kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao ya...
  17. R

    Je, ni umri gani unafaa kwa mtoto kuanza kutumia mtandao (tablet za watoto)?

    Kwa jinsi teknolojia inavyokua katika maisha yetu, haiwezekani kumweka mtoto wako mbali na mtandao. Hata ukimzuia muda si mrefu ataingia kwenye ulimwengu huo. Kwa hivyo, ni umri gani unaofaa kumtambulisha mtoto kwa vifaa hivi, na vipi? Vifaa vya watoto: Subiri mpaka shule ya chekechea Wataalamu...
  18. J

    Intaneti ina nafasi muhimu katika kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kufurahia Haki ya Kupata Taarifa

    Asilimia kubwa ya Watu wenye Ulemavu bado wapo nje ya Mitandao kwasababu wanashindwa kumudu gharama na kukosa Miundombinu ya kuwasaidia kutumia Vifaa vya Kidigitali. Hatua zinatakiwa kuchukuliwa kuhakikisha wanaweza kumudu na kufikiwa na Intaneti. Pia ni muhimu kuimarisha Matumizi ya Teknolojia...
  19. Ustahimilivu wa Digitali Unawawezesha Watoto Kunufaika na Matumizi ya Mtandao

    Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
  20. R

    Jinsi ya kuilinda simu yako inapoibwa

    Ikiwa miaka michache iliyopita, kuwa na simu yako kuibiwa tayari ilikuwa hasara ya kifedha, leo inaweza kuwa kubwa zaidi. Teknolojia inapoimarika - na pia ujuzi wa wahalifu - upotezaji wa kifaa unaweza kuwa hasara ndogo ikilinganishwa na kile genge linaweza kufanya ikiwa wana ufikiaji wa hati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…