dini na imani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naamini kama hakungekuwa na vitisho vya kuhama dini. Watu wengi wasingekuwa kwenye dini zilizopo

    Nimegundua watu wengi wako kwenye dini walizoko kwa mashinikizo ya kijamii na sio hiyari. Nimeona vijana wawili walipohama kutoka katika dini zao za kikristo na kuhamia ukristo mwingine wazazi waliwakataa na kugoma kuwasaidia. Tena mmoja kaishia form 2. Juzi nimemuona kijana mmoja Muislam kaja...
  2. Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

    Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha. Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao. Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao. Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani...
  3. R

    Wahubiri wakristo wa miujiza ni motivational speakers tu si zaidi

    Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si mnahubiri kwamba kwenye madhabahu zenu kwa jina la Yesu miujiza inatendeka?? Na si mnaalika watu...
  4. Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

    Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea kwa kishindo huku akija na staili mpya ya mahubiri. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukimsikiliza vizuri nabii huyu anavyoendesha mafundisho yake ya kichonganishi, hana tofauti hata kidogo na staili aliyokuwa anatumia Kiboko ya Wachawi kabla ya kufurushwa nchini. Sitaki...
  5. Mnakazana kuchukiana na kutukanana sababu ya Dini bila kujua maisha yanategemeana

    Hawa wawili waligundua. Kuwa pamoja na kuwa Dini zao ni tofauti wanategemeana. Mmoja ana macho ya kuona kule waendako. Mwingine hajui ila aendako ila ana miguu ya kuweza mpeleka akioneshwa. So huyu Muislamu udhaifu wake ni macho. Haoni. Ila anaweza kutembea. Mkristo anaona mbele ila hawezi...
  6. U

    Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni madai mapya kuyasikia japo yamekuwepo kwa Karne nyingi Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa! Wanadai kuwa Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo...
  7. Mzee wa Upako: Malofa hawataingia mbinguni

    Huyu mzee asaidiwe. Inaonekana wazi kuna pepo la uzushi limeweka kambi kwa ubongo wa wake. Hivi huko Dar hakuna nabii mwenye upako kama wa daddy wetu pale kisongo hemani achukue jukumu la kumfungua na kumuweka huru mzee wa upako? Manabii wa Dar hemu acheni uvivu, kuna mtu anahitaji msaada...
  8. R

    Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

    Salaam, shalom!! ( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4) Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere. Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu. Ni...
  9. A

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo anayejiita “Nabii Dominiki, Kiboko ya Wachawi”, mwenye Huduma yake DSM, WILAYA YA TEMEKE, BUZA – MTAA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…