Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao...