dini na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

    "Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

    Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...
  3. Tlaatlaah

    Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

    Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake...
  4. S

    Sheikh Nurdin alivyokuwa kisiki kwa hayati Magufuli

    S
  5. Jidu La Mabambasi

    RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  6. Yoda

    Marekani ilipoteza muelekeo ilipoanza kuchanganya dini na siasa kinyume na malengo ya waanzilishi wake

    Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini. Kipindi cha karne ya 15 hadi 17 kulikuwa na mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali Ulaya ikiwemo...
  7. E

    Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa

    Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala. Hizo warsha...
  8. Makonde plateu

    Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  9. J

    RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

    RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia. Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote. Chalamila amesema haipendezi kuona...
  10. Idugunde

    Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  11. Pascal Mayalla

    Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Wanabodi, Tumsifu Yesu Kristo. Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
  12. N

    Barua ya Wazi kwa Jakaya Kikwete: Hoja ya Kuchanganya Dini na Siasa

    1. KIKWETE NI NANI (I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni mwa viongozi walio wahi kuthibitisha kuwa wasahimilivu sana katika kujenga hoja zao pale ambapo...
  13. YEHODAYA

    Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

    Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu. Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho. Matokeo serikali na bunge...
  14. Dickson Ng'hily

    Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  15. U

    Mch. Mbarikiwa ahoji iwapo kiongozi wa dini kukemea uovu wa viongozi wa kisiasa ndiyo kuchanganya dini na siasa? Amtaka Kikwete kufafanua hoja yake

    Ukombozi wa pili wa taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka.. Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupigania HAKI kama walivyo kina Tundu Lissu au Mdude Nyangali au Boniface Mwambukusi au Dr Slaa au Freeman...
  16. matunduizi

    Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  17. Pang Fung Mi

    Askofu Shoo Kasema tukiwakemea msiseme tunachanganya dini na siasa kama tulivofanya sasa

    Hello JF, Baba Askofu Shoo, kamaliza kaonesha Umoja wa tamko kasema hata tukiwakemea kama tulivofanya sasa msiseme tunachanganya dini na siasa. Baba Askofu Shoo kamaliza kila kitu. Tumsifu Mola wetu. Asante Baba ASKOFU SHOO 🙏🙏🙏🙏. Ni hayo tu.
  18. voicer

    Kikwete Umetumia mimbari kisiasa Rorya!

    Mheshimiwa Rais mstaafu, Tulidhani ukiishastaafu unatoka kwenye siasa Rasmi, laakini umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Ingawa wengine wanazuiwa kutoa maoni yao ila wewe umetumia mimbari hiyohiyo kufanya kile ulichokipinga. Ulipaswa kutoa hilo tamko nje ya mimbari hiyo maana hilo...
  19. Mto Songwe

    WAKOMUNISTI pekee ndio wamefaulu kuweka mbali dini na siasa za nchi

    Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi. Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
  20. The Burning Spear

    Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
Back
Top Bottom