Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba mjini kwa tuhuma za kubaka watoto.
Mtuhumiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Oktoba 19 mwaka huu saa saba...