dini ya kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati. Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
  2. ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  3. Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

    Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi. Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African...
  4. Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada. Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Ancient civilization ila leo nagusia religious issues, Katika utafiti wangu mdogo...
  5. Kwa dini ya kiislamu usafi kwa mwanadamu umezingatiwa sana lakini unapaswa uwe na imani ya dini

    Just imagine mtu anaenda chooni kukojoa halafu hajisafishi tupu yake ya mbele unafikiri nini kitatokea? Hapo lazima atapata ma toilet disease tu kama UTI, Cystis, Urethritis na mengine neyo na pia atanuka nguo zake na mwili wake. Just imagine mtu hususani wanawake wanaenda chooni wanakojoa Bila...
  6. Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

    yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu. _________ Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…