Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje
Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu...
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka:
Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya uungwaji mkono, upinzani, na hali ya kutoelewana. Hata hivyo, Ukristo umekuwa mojawapo ya taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.