diploma

A diploma is a certificate or deed issued by an educational institution, such as college or university, that testifies that the recipient has successfully completed a particular course of study. The word diploma also refers to an academic award which is given after the completion of study in different courses such as diploma in higher education, diploma in graduation or diploma in post-graduation. Historically, it can also refer to a charter or official document, thus diplomatic, diplomat and diplomacy via the Codex Juris Gentium Diplomaticus.The diploma (as a document certifying a qualification) may also be called a testamur, Latin for "we testify" or "certify" (testari), so called from the word with which the certificate begins; this is commonly used in Australia to refer to the document certifying the award of a degree. Alternatively, this document can simply be referred to as a degree certificate or graduation certificate, or as a parchment. The certificate that a Nobel laureate receives is also called a diploma.
The term diploma is also used in some historical contexts, to refer to documents signed by a King affirming a grant or tenure of specified land and its conditions (see Anglo-Saxon Charters and Diplomatics).

View More On Wikipedia.org
  1. euca

    Natafuta mtu anayesoma diploma ya Procurement and supply chup kikuu huria OUT.

    Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
  2. K

    Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

    Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku. Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira. Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
  3. Mathias Emma

    Diploma ya Accountancy kwa masomo hayo

    Kwa mwanafunz aliyepata Mathematics F, Geography E na Economics E je anaweza kusoma Diploma ya Accountancy ila mathematics o level alikuwa na C ya mathematics
  4. hon daniel killion

    Habarini wadau, je inawezekana kijana ambaye amemaliza form four 2018 na kutaka kusoma diploma nyingine ya upande wa afya mwaka 2025

    Habari zenu humu ndani, Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
  5. Google Diggers

    Kuna mwenye uelewa na postgraduate diploma msaada

    Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31 Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences. Nataka kufanya post graduate ya IT Je inaweza ikakubalika?? IT imejaa science na mimi science niliifanya o level pekee Msaada wa Mawazo
  6. fredick

    Je, naweza kupata mkopo nikitaka kusoma Diploma?

    Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali
  7. CFX

    Diploma ya IT, Dereva, Graphic Designer, Data Officer(Entry)

    Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :- 1. Graphics Designing and Printing 2. Data Entry 3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission) 4. Sales and Marketing, kuongoza Team ya Marketing NB: Ninafundishika Kama ni kazi mpya na mifumo mipya...
  8. Hypersonic WMD

    Napataje module za diploma clinical medicine?

    Wakuu wapi napata hizi module
  9. KOMBO ALI

    Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  10. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  11. N

    Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari

    Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari .. Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29 November 2024 KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA. Alipitisha / kuruhusu...
  12. A

    KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

    Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
  13. S

    Ni Course gani ya afya naweza soma?

    Habari, Mimi nina Certificate ya Community Health. Je, course gani naweza soma kwa Certificate au Diploma?
  14. Mwafrika Halisia

    Sijapata mkopo kwa ajili ya diploma katika kozi ya Clinical Dentistry

    Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma. Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa...
  15. S

    Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy

    Habarini ndugu..shikamooni wakubwa ! Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy na pia nimesajiliwa na baraza la famasi. Mimi ni binti nina umri wa miaka 24,naishi Dar es salaam. 0710293470
  16. The comy

    Ordinary Diploma in Laboratory Science and Technology

    Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
  17. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023 Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili...
  18. S

    Kuchukua digrii tofauti na diploma uliyosoma kuna athari gani?

    Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
  19. Nipher_21st

    DIPLOMA IN SEED TECHNOLOGY

    mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
Back
Top Bottom