Habari wakuu,
Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake?
Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic.
Shukrani.