diploma

A diploma is a certificate or deed issued by an educational institution, such as college or university, that testifies that the recipient has successfully completed a particular course of study. The word diploma also refers to an academic award which is given after the completion of study in different courses such as diploma in higher education, diploma in graduation or diploma in post-graduation. Historically, it can also refer to a charter or official document, thus diplomatic, diplomat and diplomacy via the Codex Juris Gentium Diplomaticus.The diploma (as a document certifying a qualification) may also be called a testamur, Latin for "we testify" or "certify" (testari), so called from the word with which the certificate begins; this is commonly used in Australia to refer to the document certifying the award of a degree. Alternatively, this document can simply be referred to as a degree certificate or graduation certificate, or as a parchment. The certificate that a Nobel laureate receives is also called a diploma.
The term diploma is also used in some historical contexts, to refer to documents signed by a King affirming a grant or tenure of specified land and its conditions (see Anglo-Saxon Charters and Diplomatics).

View More On Wikipedia.org
  1. Kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa?

    Jamani mi nauliza hivi kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa? Na mtu akisoma hii kozi anakuwa nani au fursa zake zinapatikanaje?
  2. Niende kusoma digrii au diploma?

    Habari za muda wanaJF, Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo. Chemistry - E Bio - E Geography - D BAM - E G.S - D Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla. Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...
  3. T

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  4. R

    Muhas kujiunga na MD kwa diploma wanapewa nafasi ngapi?

    Nakumbuka kuna idadi ya wanafunzi waliotengewa nafasi za MD kwa diploma qualification. Huwa ni nafasi ngapi?
  5. Second selection for diploma out

    Wakuu nimerudi tena Habari za muda Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo Cha kigamboni. Nahitaji kujua hiki chuo cha kigamboni hii kozi wanafundisha vizur au vipi ndugu...
  6. Second selection for diploma out

    Wakuu nimerudi tena Habari za muda Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo Cha kigamboni. Nahitaji kujua hiki chuo cha kigamboni hii kozi wanafundisha vizur au vipi ndugu...
  7. Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

    Habari wakuu. Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado...
  8. D

    Msaada Vyuo vya ELIMU maalum ngazi stashahada (diploma) hususan Kwa viziwi

    Habari za mchana. Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse...
  9. Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  10. KERO Bodi ya mkopo mfumo wenu wa olams unamatatizo gani kwa waombaji wa diploma?

    OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao. Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo. BODI YA...
  11. Nichague nini kati ya Advance HGK au Ordinary Diploma Civil Engineering?

    Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma. Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering. Hapa anatakiwa afanye maamuzi yatakayoadhiri maisha yake yote.. Juzi anasema computer science Mimi naona akachemshe kichwa...
  12. H

    Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  13. H

    Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda degree matokeo yao ya form 4 wana had 3 wengine wana 2 ambazo mathe na physoce wamefeli vibaya mno...
  14. Amehitimu form four mwaka jana na amechaguliwa kusoma diploma, je ana sifa ya kuomba mkopo HESBL?

    Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma? ==== Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
  15. H

    Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  16. Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  17. Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  18. Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  19. Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

    Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu Geo D Chemistry E Bio E BAM E Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree. Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…