Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita.
Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...