Katika wiki za hivi karibuni China imefanya jambo kubwa la kidiplomasia kwa kuyawezesha makundi 14 ya kisiasa ya Palestina, kukaa kwenye meza ya duara na kujadili mustakbali wa uwakilishi wa watu wa Palestina, na makundi yote hasimu yamefikia maafikiano na kusaini makubaliano, yakiondoka Beijing...