Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na kimataifa kwa mipango na mikakati ya Rais huyu kipenzi cha dunia nzima. Mazingira mazuri ya na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao.
Dkt. Tax ametoa mbinu hizo tarehe 26 Agosti, 2023 wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu...
MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI
"Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
azimio
bunge
bunge la tanzania
demokrasia
diplomasiadiplomasiayauchumi
kuimarisha
kumpongeza
mkono
rais
rais samia
ratiba
samia
shughuli
tanzania
tulia ackson
uchumi
wabunge
wote
Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo.
Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti.
Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
Tumeona Mtanzania Brigedia Jenerali Juma Nkangaa akiidhinishwa kuongoza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC kama Mkurugenzi. Hatua hii inatokana na juhudi za serikali ya Rais Samia kuendelea kushirikiana na mataifa mengine kikamilifu katika nyanja zote muhimu.
Licha ya mikutano ya SADC...
Na Chacha Wangwe Jr
Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia...
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa...
Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni
Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha Diplomasia ya uchumi katika kufafanua jambo hili alisema:
"Katika bajeti sijaona kipengele muhimu...
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na Mataifa mbalimbali kuiamini Tanzania na kuleta Uwekezaji na mitaji mikubwa kwenye Nchi yetu.
Tanzania...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...