Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo kutambua dira ya maendeleo tangu walipokuwa, walipo sasa na wanakoelekea.
Chege ameendelea kuwapa...
===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa...
Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa kama taifa linajilinda dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kuibuka kwenye matumizi makubwa ya...
Wanabodi
Niko hapa ukumbi wa JNCC nikikuletea Live Mkutano wa Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Karibuni sana.
https://www.youtube.com/live/aZDU3ogL-jo?si=qC7GfiL6B69e_mxS
Paskali
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa chama cha DPP, Philipo John Fumbo.
Fumbo anawaambieni mzae kwa sababu Tanzani ni tajiri.
Maneno haya alishawahi kusema kiongozi mmoja kutoka CCM kabla hajafariki dunia.
================
Kama hizi ndio sera za vyama vya upinzani...
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.
Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.
Sasa Kwa wapanga...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea.
Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
Hii nchi inahitaji maono yatayoishi kama muongozo wa kila mtu atayekuja kuliongoza taifa haihitaji mtu.
Akija mtu mzuri akiondoka ndo basi akija mbaya ndo hivyo lazima uwepo msingi wakutuongoza wote.
Malengo makuu ya taifa yapewe kipaumbele labda hii miaka mitano kitekelezwe hiki ndipo...
Bila shaka ni kwamba tunahitaji dira ya maendeleo itakayotuongoza kwa kipindi cha muda fulani,ili kufikia Malengo thabiti yenye maslahi mapana kwa nchi.
je tuna sera imara ambazo zitawabana viongozi na watoa maamuzi ili waende sambamba na Dira hiyo bila kukiukwa??! jibu ni HAPANA.
UWAJIBIKAJI...
Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo
1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo
2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
Utangulizi
Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025- 2050 unaendelea. Vipo vipaumbele ambavyo wanajamii tungetamani viwepo katika nyaja mbalimbali. Hapa...
Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa).
Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania?
Je, ni upi umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo?
Je, Dira ya Maendeleo ya Tanzania inahusu uelekeo wa nchi pekee au kuna zaidi ya hivyo?
Ungana nasi katika...
Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.”
Pamoja na hatua kubwa ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.