Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china.
Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua yale mazuri na ya muhimu. Tujifunze kwamba pamoja na kuwa na watu wengi, bado wameweza kuhimili...
Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo.
Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo.
Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa maoni ni Vijana kati ya miaka 15- 35.
Pia soma: Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya...
Habarini Wanajamvi,
Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.