Binadamu wanamahitaji makuu matatu - chakula/kinywaji, mavazi na makazi. Nyumba sio anasa, bali ni moja ya mahitaji muhimu yanayochochea amani na utulivu, ukuaji wa kiuchumi pamoja na heshima katika jamii. Moja ya fahari kubwa sana ya kuwa Mtanzania ni pamoja na kumiliki nyumba, yaani kujenga...