dirisha dogo

  1. M

    Mukwala ni striker butu sana Simba iangalie namna nyingine dirisha dogo

    Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni...
  2. ngara23

    Dirisha dogo la usajili lipo wazi, Yanga fanyia kazi maeneo haya

    Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo 1. Kiungo mkabaji Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
  3. Waufukweni

    Tetesi: Kocha wa Bayern, Vicent Kompany anamtaka beki wa kushoto wa Mamelodi, Mudau dirisha dogo la usajili mwezi Januari 2025

    Taarifa za usajili nchini Afrika Kusini zinamtaja Kocha mkuu wa klabu ya FC Bayern München Vicent Kompany kuwa amepanga kumsajili mlinzi wa pembeni wa klabu ya Mamelodi Sundowns FC raia wa Afrika Kusini Khuliso Mudau katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari. Awali Kompany alidhamiria...
  4. H

    Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

    1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans 2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC 3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji 4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga 5.Kiungo Mbrazil, Bruno Gomez anaweza kurejea Singida...
  5. ngara23

    Yanga dirisha dogo la usajili Fanya haya

    Dirisha dogo la usajili linakuja January Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi 1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka 2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi Yao hana mbadala...
  6. L

    Maroon Tchakei ni mali nyingine ya maana kabisa ikisajiliwa Simba dirisha dogo

    Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha. Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa alikuwa anaweka kambani kabisa Chonde chonde viongozi mnaodili na usajili mechi ya marudiano na...
  7. L

    Simba wamuongeze dirisha dogo Gerald Gwalala, Mtenje Albano na Kelvin Nashon ili wamsaidie Yussuf Kagoma

    Uchezaji wa Yussuf Kagoma ambaye alionekana kumudu kiungo cha chini unafanana sana na viungo hawa akina Gerald Gwalala wa Coastal Union, Kevin Nashon wa Singida Black Stars na Mtenje Albano wa Dodoma Jiji. Jana kipindi cha pili tumeelewa sana alipoingia Okajepha, alikuwa akicheza sana nyuma...
  8. kavulata

    Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

    Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
  9. S

    Simba dirisha dogo limegoma kufunguka. Viongozi walisajili kwa mihemko.

    Naomba nitoe angalizo mapema" mimi siyo mtu wa mpira" hili ninaloandika nimepewa taarifa na chanzo changu cha taarifa. Kwa mujibu wa chanzo changu cha taarifa ni kwamba ukimya wa Simba ktk dirisha hili dogo siyo kwamba kuna cha maana wanachofanya. Hakuna. Kanuni za usajili zinasema ktk dirisha...
  10. kavulata

    Yanga epuka mpango wa kusajili washambuliaji dirisha dogo, walioko wanatosha kabisa

    Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi sasa kwenye ligi. Kwenye mashindano ya CAF timu zote hata zile kubwa zenye washambuliaji Bora ikiwemo...
  11. H

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  13. GENTAMYCINE

    Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

    Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC. Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni...
  14. Lupweko

    Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

  15. Hussein Massanza

    TFF wameturuhusu tusajili dirisha dogo, tutasajili..

    Salaam watu wa soka, Za masiku? Naendelea kuwapatia taarifa muhimu kuhusu timu yetu ya Singida Big Stars na leo taarifa kubwa ni kuhusu uamuzi wa TFF kutufutia adhabu ya kutosajili dirisha dogo mwezi Desemba kama walivyotangaza awali. Uamuzi wa TFF ulitokana na shauri lililowahi kupelekwa na...
  16. S

    Usajili dirisha dogo kuelekea michuano ya kimataifa mashariti na utaratibu wake ukoje?

    Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani? 3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
  17. N

    Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  18. Thailand

    Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  19. Thailand

    Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  20. M

    Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
Back
Top Bottom