dirisha la udahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Msaada: Jinsi ya kuhama Course Chuo Kikuu

    Habarini jamani wakubwa zangu. Naombeni kuuliza ivi kubadili course Chuo Kikuu mfano kutoka Education kwenda Nursing kwa ufaulu wa 1.9 (PCB). Kuna ugumu gani kwenye nyuo vya binafsi na serikalini na utofauti wake kwenye chuo kikuu binafsi na vya serikali?
  2. Uhakika Bro

    Pongezi kwa kubuni mitihani ya mchujo na interview, naiona dalili ya Tanzania yenye weledi (meritocracy)

    Naanza na pole kwa watu wa maabara kwa kupewa mitihani ya watoto wa shule wakati ninyi tayari ni watu wazima wa kazini. Nimeona niandike thread hii kabla sijafanya mtihani hiyo ili nije niisome tena nijicheke baada ya mtihani🤫😁. Bado hayajanikuta. Inapendeza, sasa badala ya kuchagua mtu kwa...
  3. Roving Journalist

    TCU yafungua Dirisha la Udahili kwa vyuo Awamu ya Pili, kuanzia Septemba 3 hadi 21, 2024

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika awamu...
Back
Top Bottom