discovery 3

  1. A

    Discovery 3 inashobokewa sana

    Hivi karibuni soko la Land rover discovery 3 limekua ghafla nchini. Je, tuwaambie ubovu wa hizo gari au tukauke tu?
  2. C

    Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

    Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
  3. M

    Car4Sale Land Rover Discovery 3

    Land Rover Discovery 3 Inauzwa.., Gari haina tatizo lolote, Ipo katika hali nzuri sana. Model ya 2005, Automatic transmission, Milleage ni 100,000 kms. Kwa maelezo zaidi +255(0)694-206924 or +255(0)713-668656 Bei; Tsh. 58M (inazungumzika) Selling Land Rover Discovery 3.., The Car is in perfect...
Back
Top Bottom