disinformation

Disinformation is false information deliberately spread to deceive people. A disinformation attack has been defined as "an adversarial campaign that weaponizes multiple rhetorical strategies and forms of knowing—including not only falsehoods but also truths, half-truths, and value-laden judgements—to exploit and amplify identity-driven controversies."In contrast, misinformation refers to inaccuracies that stem from inadvertent error. Misinformation can be used to create disinformation when known misinformation is purposefully and intentionally disseminated. "Fake news" has sometimes been categorized as a type of disinformation, but scholars have advised not using these two terms interchangeably or using "fake news" altogether in academic writing since politicians have weaponized it to describe any unfavorable news coverage or information.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiCheck

    Thibitisha Taarifa zinazohusisha Takwimu kutoka Vyanzo Sahihi kuepuka Upotoshaji

    Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji. Unapohitaji msaada wa uhakiki wasilisha taarifa yako katika jukwaa la JamiiCheck.com ili ipatiwe...
  2. JamiiCheck

    Jifunze kuthibitisha maudhui ya Akili Mnemba kwani yanaweza kutumika upotosha kuhusu Wanasiasa wakati wa Uchaguzi

    Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Shikamana na Jukwaa...
  3. JamiiCheck

    Ukutanapo na taarifa za uwepo wa zawadi za pesa kutoka Mashirika ya Kimataifa, thibitisha kwanza kutoka vyanzo sahihi

    Upotoshaji hufanyika kwa njia nyingi ikiwemo kusambazwa kwa jumbe zinazodaiwa kuwa ni zawadi zinazotolewa na Mashirika ya kimataifa kama vile UNICEF na mengine. Ukutanapo na taarifa za aina hii hakikisha unathibitisha kuona kama ni kweli imetolewa na chanzo husika ili kufanya maamuzi yaliyo...
  4. JamiiCheck

    'Links' nyingi za ofa za bure, kama MB na pesa, huwa si salama. Hakikisha Unathibitisha kabla ya kubofya ili kuepuka Upotoshaji

    Kumekuwapo na Links (Viungo) vinavyotumwa katika makundi sogozi na mitandao mingine ya kijamii ikiwataka watu kubofya link hiyo ili wapate zawadi ya Mb ama pesa. Links hizo mara nyingi zimekuwa si salama zikiwa na lengo la kuwalaghai wananchi na kuchukua taarifa zao binafsi na wakati mwingine...
  5. JamiiCheck

    Safeguarding Electoral Integrity Project: Enhancing Democracy in Tanzania

    Elections are fundamental to democracy, but the digital age has introduced challenges such as misinformation, disinformation, and hate speech. To address these issues, JamiiForums, in collaboration with the Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) through...
  6. JamiiCheck

    Akili Mnemba (AI) inaweza kutumika kutengeneza Taarifa Potofu

    Akili Mnemba ni teknolojia iliyosambaa ulimwenguni ikiwa imerahisisha kazi za binadamu kutokana na kwamba inaweza kufikiri kama binadamu. Lengo la AI ni kuweza kufanya mambo kama vile kutambua mifumo, kufanya maamuzi, na kuhukumu kama binadamu. Akili mnemba (AI) ni seti ya teknolojia...
  7. JamiiCheck

    Mchango wa vichwa vya Habari katika Kusambaza Habari Potofu

    Vichwa vya habari vinaweza kuwa sehemu muhimu katika kusambaza habari potofu kwa sababu vinaweza kuvutia umakini wa wasomaji, kuchochea hisia, na hata kutoa taswira isiyo sahihi ya habari kamili. Katika dunia ya sasa ambayo teknolojia ya habari imekua kwa kiasi kikubwa, baadhi ya watu wanaweza...
  8. JamiiCheck

    Matumizi ya Teknolojia ya 'Deepfake' katika kutengeneza video zenye Taarifa Potofu

    Deepfake ni aina ya ubunifu wa kidigitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) kubadilisha au kuunda picha, sauti na video ambazo huonekana kama ni za kweli, lakini zimeundwa kwa njia bandia. Jina "deepfake" linatokana na maneno mawili: "Deep learning" (kujifunza kwa kina), ambayo ni aina...
  9. JamiiCheck

    Athari za Usambazaji wa Habari Potofu kwenye Jamii

    Taarifa potofu ni habari ambayo si sahihi. Taarifa potofu inaweza kuwa na athari hasi au kuwachanganya watu kutokana na ukosefu wa usahihi au udanganyifu. Athari za taarifa potofu yanaweza kuwa makubwa au vinginevyo kulingana na unyeti wa taarifa iliyosambazwa ikiwa haina usahihi. Kadiri...
  10. JamiiCheck

    Hatua za kuchukua unapohisi Taarifa ni Potofu

    Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...
  11. JamiiCheck

    Sababu 10 zinazofanya watu wasambaze Taarifa Potofu

    Usambazaji wa taarifa potofu umekuwepo kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Hata kabla ya teknolojia ya kisasa na mitandao ya kijamii, watu wamekuwa wakisambaza taarifa za uongo au potofu kwa njia tofauti, kama vile kupitia vyombo vya habari, mdomo, au vyanzo vingine vya habari. Hata...
  12. WrestlerRSF254

    Disinformation kwenye vita kati ya Israel na Hamas

    Habari wanajukwaa!! Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea. Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake. Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
  13. Roving Journalist

    Wiki ya AZAKI: Sheria ipo kwa ajili ya kuwalinda Watawala sio Wananchi

    Join JamiiForums and BBC Media Action today October 24th, 2023 from 11:00 AM to 1:00 PM on CSO Week at Arusha International Conference Center (AICC) Topic: Tracking Information Disorder (Including Dis and Mis-Information) in the era of Technological Advancements. Kabla ya mada hii, JamiiForums...
Back
Top Bottom