Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba ametoa wito kwa Kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya Tanesco kuongeza ubunifu zaidi katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kutumia vifaa vyenye teknolojia bora vinavyoenda na Dunia ya sasa.
"ETDCO mnaendelea vyema na jitihada za...