Pamekuwepo kilio cha mda mrefu sana ambacho hakijawahi tafutiwa ufumbuzi juu ya waalimu wa part-time kunyanyaswa kwenye malipo na si mara moja au mbili malamalamiko yalisharipotiwa.
Tunasema ni manyanyaso kwa sababu kila semester yanajirudia. Licha ya kujaza claim kila mwezi lakini bado malipo...