Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada...