Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya...
Ditram bado anaonekana mwenye furaha baada ya kufunga goal siku kadhaa zilizopita. Huku na Saido naye kwa furaha kabisa baada ya kufunga goal aliomba atolewe nje ili aende kushngalia.
Kwa kweli Yanga tumepiga hatua kubwa sana katika mpira wa miguu..style ya Saido imekuwa kivutio kikubwa ikiwa...
Nakuuliza swali ewe mwana wa Mzee Nchimbi ila usinijibu, je kama anakufa kwa asali, kwanini umpe sumu?
Siku ya 15 ya januari 1929 pale Atlanta, Georgia, Marekani alizaliwa Mkombozi wa Watu weusi, aliitwa Martin Luther King jr.
Huyu alikua mwanaharakati tishio kwa ngozi nyeupe, wala hakushika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.