Nakuuliza swali ewe mwana wa Mzee Nchimbi ila usinijibu, je kama anakufa kwa asali, kwanini umpe sumu?
Siku ya 15 ya januari 1929 pale Atlanta, Georgia, Marekani alizaliwa Mkombozi wa Watu weusi, aliitwa Martin Luther King jr.
Huyu alikua mwanaharakati tishio kwa ngozi nyeupe, wala hakushika...