division one

The Football League First Division is a former division of the Football League and from 1888 to 1992, it was the top tier division in the English football league system. Following the creation of the Premier League, the name was given to the second tier division (which was rebranded as the Football League Championship in 2004 and in 2016 adopted its current name of the EFL Championship).

View More On Wikipedia.org
  1. Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

    Nchi hii ina miujiza mingi sana Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7 Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza. Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
  2. NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024. Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed. Wanafunzi pamoja na wazazi...
  3. F

    Mbinu gani ulitumia mpaka ukapata division one au two?

    Jamani wakuu semeni mbinu mlizotumia mpaka mkafaulu division one au two
  4. Pre GE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  5. S

    2013 kurudi nyuma ukipata division one watu wanakushangaa ila siku hizi ukiikosa watu wanakushangaa zaidi!

    Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O-Level au ya 3 Advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa. Maisha siku hizi yamebadilika, hata ukipata one ya single...
  6. Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four. Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
  7. Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  8. Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  9. Shule ya Sekondari Lyamungo wana division one 213 matokeo ya kidato cha sita 2022

  10. P

    Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

    Wasalaam! Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili. Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano. Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la Kwanza. (Division One) Ufadhili huu ni kwa miaka miwili (Form 5 & 6) Kwa TAHASUSI (combination) zote...
  11. Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

    Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia! Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni...
  12. Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  13. Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

    Kama uzi unavyojielezea, Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…