"Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Hapo vip!
Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya umaskini,ujinga,IQ ndogo, na asili ya kiafrika..nimesema haya kwasababu wazungu hawana hizi mambo.
Sasa...
"Matusi Yale,dharau zile,kejeli zote,kunyimwa,ujenzi wa Siri,Mateso yale nakumbuka alivyokua anachelewa Toka kwenye kiduka chake Hadi usiku wa saa tano,akifika anafua hadi saa saba ili nilale nisimsumbue ndio aje alale!kumbe ni diwani!
Nikimgusa anarusha miguu kama punda!kumbe ni diwani!!!
Eee...
Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni.
Musyoka anadaiwa kuwasilisha stakabadhi za uongo za kurejeshewa fedha za ununuzi wa gari kwa lengo...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti wa chama hicho, Athumani Kimui, ameeleza kuwa CCM haikubali kuwepo kwa ubaguzi baina ya wanachama wake, akisisitiza...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Wanajukwa!
Kwahiyo huyu Kasesela anataka kuwapa jeuri gani au anataka kuwapoteza wenzie?
Kila mtu atapita kwa kipimo cha kazi aliyoifanya kama alifanya uozo basi itakula kwake na awamu hii naona wengi watarudi makwao vichwa chini!
===================
Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Chama cha...
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha.
"Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya.
“Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi.
Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa...
“Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
ccm
dar es salaam
diwani
freeman mbowe
haki za binadamu
jpm
matukio ya utekaji
matumizi
nani
rasilimali
serikali ya ccm
tanzania
utekaji dar
utekaji na mauaji
Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari.
Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa.
Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.