Wananchi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti, jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Intel kwa zaidi ya saa tatu siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, wakishinikiza serikali kutengeneza barabara ya Kimara Mwisho hadi Kwa Patel ambayo imeharibika vibaya na kujaa mashimo yenye maji machafu...