Miaka ya nyuma kidogo baada ya Wasafi TV na FM kuingia mjini, basi Dizzim online nayo ikafata na kuingia mjini na mbwembwe nyingi wakifanya interviews bab kubwa na mambo kadha wa kadha. Maendeleo yalizindi kukua na kupelekea kufungua kituo cha TV na Radio na kuoneshwa kwenye Ving'amuzi...