django

Django Django are a British art rock band based in London, England. Formed in 2009, the band has released five studio albums starting with their self-titled debut in 2012. Their latest album Off Planet was released on 16 June 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Rasmi Django 5.0 ipo released

    Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu Moja ya features ambazo nipo excited kuzitumia ni 1. db_default Hapo kabla kwenye database...
  2. Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…