Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...