dk mwigulu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Minister Mwigulu Nchemba Shares How He Joined the BoT Right After University

    The 9th Gilman Rutihinda Memorial Lecture: Driving the Shift Towards A Cash-Lite Economy | Bank of Tanzania 2025. This event honors the legacy of the late Governor Gilman Rutihinda, whose visionary leadership and transformative reforms continue to shape our financial landscape today. This...
  2. pesakilakitu

    Nimehuzunishwa kama si kusikitishwa na Kauli za Mwigulu Nchemba kuelekea mechi ya Derby

    Katika kampeni iliyoanzishwa na Benki ya NBC ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, mimi kama mdau wa mpira nimeshangazwa kama si kuchekeshwa na kusikitishwa na Kauli za Mwigulu, kwanza ametoa tuhuma kuwa uwanja tena eti wenye jina maalum kwamba pametolewa penati tatu, yeye anaujua mpira ama...
  3. Roving Journalist

    Waziri wa Fedha, Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea rufaa kieletroniki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dkt. Mwigulu ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la PPAA katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
  4. LESIRIAMU

    Pre GE2025 Mwigulu Nchemba asitishe ujenzi wa shule eneo alipokaribishwa Tundu Lissu

    Katika hali ya kushangaza, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewaamuru madiwani wa Jimbo la Iramba ambao amewaweka yeye madarakani wasitishe uamuzi wa kujenga shule eneo la Ruruma kata ya kiomboi ambalo watoto wanatembea hadi kilomita 15 mpaka 20 kuzifuata shule za sekondari zilipo kwa sasa...
  5. Gemini AI

    Pre GE2025 Jina la Dkt. Samia latamkwa mara 40 kwenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40. Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa...
Back
Top Bottom