Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda kinyume na mwezi mtukufu.
Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani.
Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...