Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani.
Leo kilichonifurahisha zaidi ameongoza kikao na viongozi wa dunia akiwa Mbeya kwenye mawimbi na upepo na ubaridi mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.