Nani anaaminika na kukubalika zaidi ndani ya chadema na anaweza kua na nafasi nzuri zaidi ya kupewa fursa ya kubeba jukumu hilo muhimu la kupeperusha bendera ya chama hicho, kati ya mwenyekiti wa chadema taifa wa sasa na aliewahi kua katibu mkuu wa chadema taifa?
Au tutegemee siasa za chuki...
Kwa nini viongozi huwa wanaapishwa?
Unadhani ule ni utani?
Ni agano kati yako na Mungu ukienda kinyume itakutafuna tu,kama sio wewe ni kizazi chako.
Kiapo cha mapadre ni hatari sana nina mifano ya mapadre watatu ambao walivunja kiapo na kuamua kuoa ila mwisho wao ulikuwa sio mzuri.
Dk Slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.