WANANCHI PWANI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA
Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Alice Karungi Kaijage, amewataka wakazi wa Pwani kushiriki kikamilifu Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akisema kuwa kampeni hiyo imeleta manufaa makubwa kwa wananchi katika...