dkt. ashatu kijaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Dkt. Ashatu Kijaji : Agawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani Morogoro

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro. Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa na mkoani Morogoro kwa ujumla huku...
  2. Suley2019

    Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda vya chuma 28 vyatoa ajira 25,358 kwa Watanzania

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 28 vya kuzalisha chuma na bidhaa za chuma. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Leo mei 21,2024 Bungeni Wakati akiwasilisha Hoja ya Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Achaguliwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri AfCFTA

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA Council of Ministers) kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kuanzia Desemba 07, 2023. Aidha, Waziri Kijaji ameongoza Mkutano wa 12 wa Baraza la...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ashatu Kijaji: Limeni Miwa kwa Wingi Soko la Miwa Limekuwa Kubwa

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini. Dkt. Kijaji...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji: Zalisheni bidhaa zenye ubora unaohitajika sokoni

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  9. Taifa Digital Forum

    Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
Back
Top Bottom