MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI!
Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka leo. Naheshimu kimya chake ambacho kina nguvu kuliko maneno yake. Ni juu yetu kudadavua uzito wa...
Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa...
CCM, kiuhalisia, kamwe haiwezi kuheshimu demokrasia wala haki za wananchi kuwachagua watu wanaotaka wawaongoze.
CCM inaamini katika kupora kura au kupora maamuzi ya wananchi. Inaamini zaidi katika wizi kwenye kila jambo.
Mwizi huwa hachagui cha kuiba. Ndiyo maana wakishaiba kura, au wakaamua...
Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.
Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya...
Wakati aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally akiendekea kuandamwa na kauli yake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amejitosa akimtaka kiongozi huyo kukaa kimya kama hataki kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Wakati wa Utawala wa Serikali ya awamu ya Tano, Dr Bashiru Ally ulikuwa Kiongozi Mwandamizi wa Chama na baadaye kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Ni imani yangu kuwa ulikuwa miongoni mwa washauri wakuu wa Serikali ya Hayati Magufuli.
Sehemu ya Ushauri wako ilipelekea Wakulima wadogo wadogo kuwa na...
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.
Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na...
Picha: Joseph Selasini
Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena"
Joseph...
Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.
Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama mali za CCM lakini kwa bahati mbaya ilishindikana kabisa na sasa ile sekretarieti ya akina Mpogolo...
Katibu mkuu msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa Dk Bashiru Kakurwa wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya kilimo amesema nchi yetu imepitia kipindi kigumu baada ya kuondokewa na aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu hayati Dk Magufuli.
Dk Bashiru amesema kutokana na hali hiyo kuna...
Kiukweli si kawaida sana kwa sisi wanaume wa Pwani ambao tulipelekwa jando na kufunzwa na Mababu zetu kumkuta mtoto wa kiume anaongea sana kama Kasuku.
Nimesikitishwa na maneno ya hovyo na tuhuma zisizo tija zilizotolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (MNEC) Haji Jumaa dhidi ya Katibu...
Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi.
Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.