Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa nchini wafanye kazi hiyo kibiashara ili wanufaike zaidi.
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Oktoba 12, 2023 jijini Dar es Salaam alipotembelea Ofisi za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini...