1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha.
2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
Heshima kwako Mkuu Dkt. Gwajima D
Vyanzo vyanzo vya uhakika vimenipa taarifa za Mwalimu wa Shule ya Istiqaama huko Nzega kutuhumiwa kuingilia watoto kimwili.
Vyanzo vimesema taarifa hizo amepewa pia Waziri Mwenye Dhamana Dkt. Gwajima, lakini jambo hili linafanywa siri na mwalimu hajachukuliwa...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
Dkt. Gwajima D Wasalaam,
Ni tatizo la kawaida kwa watu wazima kupoteza uwezo wa kiakili au kupoteza kumbukumbu kadiri umri unavyokwenda. Hata hivyo kwa baadhi ya Watanzania hili suala halijulikani sana. Kuna wenzetu huko wanakotoka labda hakuna wazee au labda wazee wao tatizo hili hawana, kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara yake.Nampongeza sana kwa ujasiri na uthubutu wa hatua hiyo. kwa kuwa hatua hiyo inasaidia kuondoa uzushi ...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.
Kiukweli kabisa...
Wasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.
Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.Fedha za kuwalisha, kuwapa vinjwaji, kununua pedi[taulo] kila mwezi hazijulikani zitokapo na...
Link hii hapa, karibuni[emoji847]
https://youtube.com/live/MhZaCP3E9GA?si=FvE9aTPWw7MPBWaj
==========
DKT. DOROTHY GWAJIMA, WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM
Jukwaa hili kitaifa ni la tatu, ambapo la kwanza lilikuwa ni mwaka 2021 na Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa...
Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini.
Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani?
Inachukua muda gani kujua idadi ya wagonjwa waliolazwa mkoa kwa mkoa, vifo au waliopona?
Hapa tuna mwenzetu mwingine...
Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000.
Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam.
Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo.
Kwa nini huoni kama kuna shida? Wizara hii haihitaji Mipasho, vichekesho na Propaganda. Inataka mtu ambaye yupo...
Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.