dkt dotto biteko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Dtk. Biteko awataka walimu wasijione duni waeleze shida zao, ataka pia wasikilizwe wakiwasilisha shida hizo

    “Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili linamfanya mwalimu mwenyewe kukutana na watoa huduma Serikalini ili kujua nini kitafanyika juu ya...
  2. Pre GE2025 Jakaya Kikwete: Niwaambie kuwa mambo mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025. Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea...
  3. Dkt. Biteko: Ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu. Soma Pia: Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika "Kwa nchi...
  4. LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa tutashinda

    Wakuu, Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist ===== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
  5. Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  6. B

    Ziara ya Naibu Waziri Mkuu Kibondo: Mbunge Samizi aeleza Bilioni 58 za Rais Samia za miradi

    Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na ujenzi wa shule za msingi na sekondari. Amebainisha hayo Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma...
  7. Mgodi wa GGM waanza kutumia umeme wa Gridi badala ya mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa kinawezesha GGML kuanza kutumia umeme wa gridi kwa matumizi yake badala ya mafuta na hivyo kupunguza gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…