Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Dotto Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Imefuta zaidi ya tozo na kero 370 Kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji Nchini.
Bwana Biteko amesema hatua hiyo imechochea kukua Kwa biashara na uwekezaji Nchini akitolea mfano ongezeko la...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Nyamongo na Mkoa wa Mara kwa ujumla kufanya kampeni za kistaarabu na kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia, viongozi hao walikubaliana...
MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...